Mkuu nikishadeclare interest Mimi ni ArgentinaKwa huu mpira wanaocheza, siwaoni nusu fainali, labda kama una team mbili unazoshabikia ujikite huko.
Always ngoma ya watoto haikeshi mkuuMkeka umekufa
Wanakuwa wametoka πJamani kwani wakfungwa inakuwaje? Hebu nipeni msimamo
Habari za kujitahid zishapitwa na wakati SEGE-GIRL wamecheza hovyo mnoHii ni bahati tu ya mpira ila Senegal walijitahidi sana
Hv kibibi ni kweli kaliwa na Fabrizo ahahahahahNikaangalie Huba sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]
Ilo goli lililopatikana dk 98Hawaamini kivipi wakati wameshinda 2 bila
Hakuna mechi nyingineWanakuwa wametoka π
Leo hawa Holland kama Senegal Mane angekuwepo angekua wameshafungwa siku nyng sana.. Nimewaona bado hawajanishawish khs hata kufika Nusu.
Ana rekodi gani na Taifa Stars Mkuu?Taifa Stars haiwezi kumsahau, dogo ana kipaji kinaonekana.
Lawama gani sie tujikite kwenye mambk yetu yale ya mauno tuuDah inauma ila waafrica tupunguze lawama
Mkuu mimi imani yangu dunia ni moja, mipaka ya wakoloni isitufanye kutengana, wewe kama unapenda kushabikia waafrika wenzio basi wewe ni mbaguzi. Mimi niko huru kushabikia timu yoyote duniani kwa sababu binadamu ni wamoja.Waafrica bado dhambi zetu za kubaguana,kuuwana,kutesana,rushwa,chuki,ubinafsi zinatuhukumu mpaka kwenye michezo.
Senegal inheshinda waafrica tungefurahi wote lakini dhambi Karma zinatuadhibu.
Na tuvizungushe haswaaaLawama gani sie tujikite kwenye mambk yetu yale ya mauno tuu
Ndio mkuuIlo goli lililopatikana dk 98
Mi nilishaandika hasara, kwa kweli namshukuru Refa maana ndiye kanibebaWaliobet over 1.5 naona hawaamini lazima wakeshe bar leo