Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwa huu mpira wanaocheza, siwaoni nusu fainali, labda kama una team mbili unazoshabikia ujikite huko.
Mkuu nikishadeclare interest Mimi ni Argentina
Netherlands
Brazil huko Africa nitakuwa kwa mkopo tu, 😂😂
Yaani nitakuwa team ya Africa Kama haichezi na team hizo
Vinginevyo ndugu zangu mtanisamehe
 
Waafrica bado dhambi zetu za kubaguana,kuuwana,kutesana,rushwa,chuki,ubinafsi zinatuhukumu mpaka kwenye michezo.
Senegal inheshinda waafrica tungefurahi wote lakini dhambi Karma zinatuadhibu.
Mkuu mimi imani yangu dunia ni moja, mipaka ya wakoloni isitufanye kutengana, wewe kama unapenda kushabikia waafrika wenzio basi wewe ni mbaguzi. Mimi niko huru kushabikia timu yoyote duniani kwa sababu binadamu ni wamoja.
 
Wazungu bana wameanza kutumia waafrika wa ulaya kunyanyasa ndugu zao, alafu utaskia Black lives matter 🖕
 
70917321-F43F-4160-B65E-00A537CC043A.jpeg
 
Back
Top Bottom