Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pamoja na zaidi ya nusu ya washabiki wa soka duniani wakitamani na wengine wakitaka Argentina kushinda kombe la dunia chini ya Messi, wamesahau kuwa Sir God hapangiwi....

Mwisho wao ni leo! Na Messi anakwenda kuweka rekodi mpya ya kukosa Kombe la Dunia kama kawaida yake!
Kwahiyo watu wakitamani kitu wanakuwa wamempangia sir god?
 
Sir God hapangiwi ndo maana amevuka kote huko wakati mlikuwa mnamuombea kushindwa...tena amevuka from zero (mechi ya saudia) to hero (anaingia final).
Jiandae kisaikolojia maana fainali anacheza kama utanii
Amini usiamini, leo ndio kiama chao... na lawama zote zitakwenda kwa Messi...
 
Sir God hapangiwi ndo maana amevuka kote huko wakati mlikuwa mnamuombea kushindwa...tena amevuka from zero (mechi ya saudia) to hero (anaingia final).
Jiandae kisaikolojia maana fainali anacheza kama utanii
Hakuna Mungu anafurahishwa na kelele zenu
 
Achana na hao wanaotamani... ! Wengi wanataka(wanalazimisha)! Na watajibiwa tu kwa negative results...😊
Sicho ulicho ongea kwenye comment yako ya awali.. Mnaanza kuzikana comment zenu mapema same na ambavo hamtaamini kitakacho watokea kina Modric
 
Croatia tutolee dust hizo
319822012_556249786320777_3630160861843879229_n.jpg
 
Back
Top Bottom