Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mechi haitabirikiWale wa Kroatia tujuane mapema. Ajentina analala na viatu leo.
Leo wanakaa mapema
Mbona hajavaa 'kimaadili' au sio wa dini yetu?Mnamwona huyu mwanamke
View attachment 2445345
Huyu ndiye muke ya HAKIMI masikini ajiandae kumbembeleza mumewe hapo kesho.
Leo Messi atalaa na viatu leoLeo wanakaa mapema
Mkuu on paper Ajentina anashinda lakini kwa ground mambo yatakuwa tofauti sanaMechi haitabiriki
Japo croatia ana big chance
Pole sana Mungu hausiki kwenye mpira, ajentina leo ni kipigoEeh Mungu tumeanza na wewe tunaomba tumalize na wewe kwa ushindi wa kishindo hadi wasioamini waamini. Amen
Mane au?Nimekaa paleeView attachment 2445594