Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mtaa wa Argentina
Full bue and white
Napita kwa kunata maana ushindi tunao.
Mungu ibariki Argentina Mungu mbariki Di Maria Mungu mbariki kipa wetu Mungu mbariki Messi,
 
Messi ningependa awe na world cup ila mafanikio alio nayo inatosha maana nchi yake tayar ina world cup.
Wacha wengine nao waonje raha ya world cup.
 
Wanafanana kama nzi
FB_IMG_1670952376683.jpg
 
Back
Top Bottom