Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Upuuzi MTUPU....

UISLAM hauwezi kunasibishwa na haya yanayoendelea.... no tamaduni na pract8za WAISLAM na siyo UISLAM.... mpira unaobatana na machafu ya KUTOSHA...Pombe, kamari, nudity, etc unaunasibisha vipi na UISLAM?
Maria.....tambua kucheza mpira sio dhambi.
 
Kuna jamaa nimemwona leo yeye ana uraia pacha. Croatia na Argentina. Ila anaonekana kwa asili kabisa anaoneka ni mtu wa maeneo ya balkani.

Sasa leo timu za nchi zake zinacheza. Anasema hili ni tatizo kwake. Maana hajui awe upande upi. Anasema nchi zake zina wachezaji bora dunia na hata kwenye hii fainali labda mbape tu ndio anawakaribia Leonel Messi na Luca Modric.

Anaendelea, anasema. Macaptain wa timu zote wanavaa jessy namba 10. Messi na Modric. Akaongeza kuwa LM10 na LM10 yaani wachezaji hao majina yao ya kwanza yanaanza na Herufi L na majina yao ya pili yanaanza na herufi M. Kavaa jessy nusu ya croatia na nusu argentina.

Mwisho kabisa akasema anafurahia kuwa moja kati ya nchi yake itacheza fainal ya kombe la dunia mwaka huu.

Lakini mimi naamini kabisa lazima awe na upande anaiupenda kwenye game ya leo usiku.
 
Etoo prediction
Alitabiri Morocco na Ufaransa kufika nusu fainali na kweli imekuwa

Akasema cameroon inanyanyua ndoo mwaka huu mkeka ukachanika vibaya sana[emoji23][emoji134][emoji134]
 
Comfirm lineup

Julian Alvarez start vs Croatia as team news is confirmed

9 mins ago / autty

Lionel Messi has inspired Argentina to the World Cup semi-finals, and the forward once again takes centre stage tonight against Croatia.
[http://img]
The 35-year-old starts alongside Julian Alvarez, who has been picked ahead of Lautaro Martinez despite the striker scoring the winning penalty against Holland last week.
Angel Di Maria was fit enough only for the bench in Argentina's quarter-final win, and despite an impressive cameo against Holland the 34-year-old remains on the bench, with Leandro Paredes starting instead.
The South American outfit switched to a back three against Holland, with Manchester United's Lisandro Martinez joining Cristian Romero and Nicolas Otamendi in defence.
They have reverted to a back four tonight, however, with Martinez dropping out.
Meanwhile, Marcos Acuna is suspended having picked up his second yellow card of the tournament in Argentina's win over Croatia, with Nicolas Tagliafico therefore starting at left-back from the off.
Right-back Gonzalo Montiel is also suspended, but Nahuel Molina is the first choice regardless and is as expected in the starting lineup.
Confirmed Argentina XI: Martinez, Molina, Romero, Otamendi, Tagliafico, Paredes, Enzo Fernandez, De Paul, Mac Allister, Messi, Alvarez

Credit Allfootball app
 
Hata serikali ya Qatar na FIFA wanapenda uwepo wa Argentina kwenye haya mashindano maana hiyo kibunda inayokusanywa kwenye mechi za Argentina ni balaa.....

Bila argentina ,world cup ni kama ligi daraja la 4
Ndio leo wana papaswa na kurudi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…