Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi MTUPU....Kwa hiyo itakua wakristo(france) vs waislam(moroko) ama?
Rio kama RioWanafanana kama nziView attachment 2445630
Rio kama rioooo spain moja hyoooo...toto la professorRio kama Rio
Sio tu kwamba wewe sio mpenzi wa mpira.....hata Mpira hujui..( joke)Si mpenzi sana wa mpira ila naomba kuwatakia Croatia ushindi , lengo historia ijurudie na safari hii iwe Croatia ichukue kombe.
Ni bora wakate mchana kuliko usiku aiseh, huku kwangu tangu mgao uanze haujawahi kukatika usiku.Asee TANESCO washafanya yao huku
Inasemekana hata Portugal haonekaniKwani yuko wapi mbonahaonekaniView attachment 2445662View attachment 2445663
Mi kweli kabisa, yaani sijui haswa, mara ya mwisho kucheza mpira ilikua 97 nikiwa darasa la 3, tena nilipangwa kipa. Ila uzuri sikufungwa.Sio tu kwamba wewe sio mpenzi wa mpira.....hata Mpira hujui..( joke)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inasemekana hata Portugal haonekani
Ni kero kweli kweliNi bora wakate mchana kuliko usiku aiseh, huku kwangu tangu mgao uanze haujawahi kukatika usiku.
Maria.....tambua kucheza mpira sio dhambi.Upuuzi MTUPU....
UISLAM hauwezi kunasibishwa na haya yanayoendelea.... no tamaduni na pract8za WAISLAM na siyo UISLAM.... mpira unaobatana na machafu ya KUTOSHA...Pombe, kamari, nudity, etc unaunasibisha vipi na UISLAM?
Hivi nyie mnaishi wap ambako kila sku umeme unakatika,polen aseeAsee TANESCO washafanya yao huku
Kumbuka jamaa kazaliwa Hispania.Ndo hawa waisilamu wenyew???
Ndio leo wana papaswa na kurudi kwao.Hata serikali ya Qatar na FIFA wanapenda uwepo wa Argentina kwenye haya mashindano maana hiyo kibunda inayokusanywa kwenye mechi za Argentina ni balaa.....
Bila argentina ,world cup ni kama ligi daraja la 4