February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Ndo hayo sasa tukisema tuyafute messi anamzidi ronaldo magoliNi halali, ila magoli ya penati huwa haya describe ubora wa mchezaji
Sahii kabisa mkuuHawa wa TBC wanaupiga mkubwa sana [emoji119]
Sikuwa na mpango wa kuangalia mechi ila hawa watu wanachekesha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£ hii sioYani mbeleko duniani kote mbeleko ipo wala hakuna ambapo haikosekani, kumbe ni kweli kabisa Ureno waliona mbali kuwa hili kombe wanataka kupewa Argentina [emoji1]
Konyo tu huyo wangapi wamekosa penalty bhn......si wangepata na waoNdo hayo sasa tukisema tuyafute messi anamzidi ronaldo magoli
Haina shida ndona na ballon d or kazibeba kwa anjili ya penatiNi halali, ila magoli ya penati huwa haya describe ubora wa mchezaji