February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Ndo hayo sasa tukisema tuyafute messi anamzidi ronaldo magoliNi halali, ila magoli ya penati huwa haya describe ubora wa mchezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hayo sasa tukisema tuyafute messi anamzidi ronaldo magoliNi halali, ila magoli ya penati huwa haya describe ubora wa mchezaji
Sahii kabisa mkuuHawa wa TBC wanaupiga mkubwa sana [emoji119]
Sikuwa na mpango wa kuangalia mechi ila hawa watu wanachekesha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 hii sioYani mbeleko duniani kote mbeleko ipo wala hakuna ambapo haikosekani, kumbe ni kweli kabisa Ureno waliona mbali kuwa hili kombe wanataka kupewa Argentina [emoji1]
Konyo tu huyo wangapi wamekosa penalty bhn......si wangepata na waoNdo hayo sasa tukisema tuyafute messi anamzidi ronaldo magoli
Haina shida ndona na ballon d or kazibeba kwa anjili ya penatiNi halali, ila magoli ya penati huwa haya describe ubora wa mchezaji