Waafrika wenzako unawaombea balaa!!??Ukibebwa bebeka..sisi tunasubiri kesho Morocco tuwale tena watu wasingizie ya leo
Acha kujibizana na mataahira, kwani lazima kila Mtu ampende huyo Andunje [emoji847]Kwani lazima kumpenda, simpendi na mimi sio kenge
🤣🤣🤣🤣🤣Leo ni kaunta manina hadi akili iwakae sawa
🤣🤣🤣🤣Nilitaka nikatazame mechi kipindi cha pili ila nimeghairi sasa naona Adidas wameshatembeza bahasha kama tuzoo ya mchongo 2010..