Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

DBFA95E9-8FC5-4C03-864C-55361BDB1357.jpeg
 
Mbona unateseka sana? Ndo maana unaitwa hater halafu unachukia ila kiulweli hamna namna nyingine ya kukuita.. Kiukweli una chuki na Messi naanza kuliona na mimi
Bisha kwa hoja

Kwani uongo hajapewa penati 4?

Ikiwa kama ni kweli hapo u hater unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom