Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #25,841
Usishangae akatwaa tuzo mbili za mashindano yaani ya mchezaji bora na mfungaji bora...Someone scoring 5 goals in one tournament with 4 penalties and he still called GOAT?
Mbona unateseka sana? Ndo maana unaitwa hater halafu unachukia ila kiulweli hamna namna nyingine ya kukuita.. Kiukweli una chuki na Messi naanza kuliona na mimiSomeone scoring 5 goals in one tournament with 4 penalties and he still called GOAT?
Pia ni mchezaji anayeongoza kwa kupewa penati kuliko mchezaji yeyote
Mlete GOAT wako.Someone scoring 5 goals in one tournament with 4 penalties and he still called GOAT?
Labda alimchukulia mkewe mna c kwa chuki hizoMbona unateseka sana? Ndo maana unaitwa hater halafu unachukia ila kiulweli hamna namna nyingine ya kukuita.. Kiukweli una chuki na Messi naanza kuliona na mimi
Kama umeshajua timu za kucheza fainali, tutajie na bingwa Sasa.Fainali inajulikana ni Argentina vs France
Bisha kwa hojaMbona unateseka sana? Ndo maana unaitwa hater halafu unachukia ila kiulweli hamna namna nyingine ya kukuita.. Kiukweli una chuki na Messi naanza kuliona na mimi
Pia ni mchezaji anayeongoza kwa kupewa penati kuliko mchezaji yeyote
Hii nayo uikumbuke
Sheria inazuia magoli ya penati?Bisha kwa hoja
Kwani uongo hajapewa penati 4?
Ikiwa kama ni kweli hapo u hater unatoka wapi?
Nipoooo namalizia mechi hivohivo kishingo upande ntafanyeje sasa!!Usilale tu rafiki
ArgentinaKama umeshajua timu za kucheza fainali, tutajie na bingwa Sasa.