Anaanzia wapi?Hivi vitu anavyofanya messi ronaldo anawezaaaaaaa [emoji14]
Alicho kifanya hapo, sio poa.Woyooooooo
Teh teh teh 😂😂😂 wale wengine wameshalala....Nipoooo namalizia mechi hivohivo kishingo upande ntafanyeje sasa!!
Wanashindwa kutusadia Bongo huku.Itakuwa Dr. Licky ni mtawa wa FIFA. [emoji16]
France anapiga mtu si chini ya bao 3...Inajulikana na nani Mkuu..hivyo ndivyo tunakufa na Pressure
Nilisemaaa 90 zatoshaa kuamuaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847]!Changamotoooooooooo
Kaka mpira umeshaisha huuCroatia wakirudisha hazidi mbili au moja!
Acha kumlinganisha Messi na wana mitindoHivi vitu anavyofanya messi ronaldo anawezaaaaaaa 😛
Sawa nitasubiri Kesho nione hizo 3France anapiga mtu si chini ya bao 3...
Mabeko wa Croatia wazembe pale hata Mwamunyeto asinge zungushwa na chenga za Messi kiboya kama vile .Hii mechi Croatia wngetuachia Brazil Argentina tungemdhalilsha vibaya mno..Duniani kuna messi mmoja tu🤗🤗🤗
Magnificent
Yah ni kweli mkuu unavosemaKwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?
Nilikuwa nairudia kuiangalia ile penati jinsi ilivyopatikana na hapo ndio nikaona kivyovyote hapa Argentina anaandaliwa ashinde
Tangu wafungwe bao la penati unaona kabisa team ilipata mvurugiko ikawa haichezi katika form ya kueleweka na hapo ndio wakafanikiwa kupata bao la pili