Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?

Nilikuwa nairudia kuiangalia ile penati jinsi ilivyopatikana na hapo ndio nikaona kivyovyote hapa Argentina anaandaliwa ashinde

Tangu wafungwe bao la penati unaona kabisa team ilipata mvurugiko ikawa haichezi katika form ya kueleweka na hapo ndio wakafanikiwa kupata bao la pili
Yah ni kweli mkuu unavosema

Ila naona Croatia wamefloat huku

Maji yapo shingoni

wanaeza pigwa nne leo!
 
Back
Top Bottom