For me I was team France but for the good performance showed by Morocco lolote linaweza kutokea ukaona ni Argentina v Morocco, why? Because Moroccans have got something so different in this competition, in short wamekamia kuuchukua ubingwa, utashangaa matokeo gemu ya France v MoroccoNgoja akutane na kijana Mbappe atamuonesha shughuli kama ile ya mwaka 2018
Kumbe ujinga huko upo kama bongo tu!!!Mambo yalivyo huko Argentina kwa sasa baada ya kutinga fainali kibabe..! Jezi ya Messi inapeperushwa na Chopa.View attachment 2445944
Ufaransa ni mtihani mkubwa sana kwa Morocco. Ningetamani iwe ivyo ila sioni likitokea kwa sasaKwani we huamini kwamba Morocco ndio bingwa michuano hii???
Dah messi fala sana....ametukosesha uhondo
Inamaana kesho Morocco atafungwa na ufaransa?tusubiri tuone.ππππππNa kwa sababu hiyo basi France ni bingwa.
Na mashindano yameisha
N that's how it gonna be, Morocco wamekamia kuuchukua ubingwa hawana utani kabisa in this WCIkitokea Morocco anashinda mbele ya france basi Morocco atabeba ubingwa wa world cup na kuandika historia ambayo hatutakaa tuisahau
Kevipi?Dah messi fala sana....ametukosesha uhondo
Itatokea Morocco dio bingwa.wale wa betting mtanishukuru.Ufaransa ni mtihani mkubwa sana kwa Morocco. Ningetamani iwe ivyo ila sioni likitokea kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si hatutamuona miss Croatia akiwa naked kwasababu ya Messi.Kevipi?
Ndivyo itakavyo kuwaN that's how it gonna be, Morocco wamekamia kuuchukua ubingwa hawana utani kabisa in this WC
Asije akakutana na waarabu wa Morocco tu, wale Jamaa wakamiaji mbaya sana wanazisaka penalty tu mwanzo mwisho sababu wanamuamini goal keeper wao, he is a keeper of his brothers in the game for real na hua anamaanisha analinda goliPendaelli nakusabahi, muda ndiyo huu na matokeo ndiyo hayo. Messi ana anatabasamu tu muda huu...
Dada aliamua tu kutunyima koneksheni. Ina maana aliamini kabisa watapenya kwa Argentina? Asitufanyie hivyo bana!Watu wangeona sinema ya buree
Mkuu mimi yoyote atakayepita ni sawa tu. Kikubwa sitafurahia Argentina abebe ndoo. Yan nitatamani nitoke mitandaoni mpaka mwaka uisheFor me I was team France but for the good performance showed by Morocco lolote linaweza kutokea ukaona ni Argentina v Morocco, why? Because Moroccans have got something so different in this competition, in short wamekamia kuuchukua ubingwa, utashangaa matokeo gemu ya France v Morocco