BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Ni Mabwepande sio hiki ulichoandikaMwabepande
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mabwepande sio hiki ulichoandikaMwabepande
Eeeh goooolTote hayo amesbabisha messi
Dadake HAPO alipofikia amefanya kadri ya UWEZO WAKE .....😂😂😂😂😂😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Tote hayo amesbabisha messi
Hivi kumbe upo kaka mkubwa?Croatia leo walikuwa vizuri eneo la kati mbona mmeshinda??
Tutashinda bila hao kwasababu uwezo upo, timu mpaka inapata matokeo unaona inapambana na sio kutegemea penati
Hahahahaha mkuu utakuwa umelala unaota
Mbape mwisho wake kesho.Huyo mbuzi wao anaimbwa imbwa kwa magoli ya penalty tena za mchongo. Ngoja akutane na kijana Mbappe atamuonesha shughuli kama ile ya mwaka 2018
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipoteaaa uliogopa maneno ya mavuvuzelaaa??
Tembea kifua mbele leo tumetawala huu uzii
Tunapita kordoni, tunapita seblen, tunapita jikoni vyooonii yani ni sisi tu team [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Hatoboi kesho wataonewa saanaTimu Morocco tujuane kabisaa kabla hapaja pambazuka.
Mamluki hatuwataki.
Kama ulisha shabikia Brazil sijui England, samahani tusameh, hatuhitaji msaada wako.
MOROCCO NDIO BINGWA
Kuna msemo kwenye football.Kwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?
Nilikuwa nairudia kuiangalia ile penati jinsi ilivyopatikana na hapo ndio nikaona kivyovyote hapa Argentina anaandaliwa ashinde
Tangu wafungwe bao la penati unaona kabisa team ilipata mvurugiko ikawa haichezi katika form ya kueleweka na hapo ndio wakafanikiwa kupata bao la pili
Vitu kama hivi yule mr benchi hawezi kamwe atakimbilia kwa rafiki yake piers Morgan kufanya interview
Hamna hata sio nongwa ni vile tu sikuwahi kuona michango ya namna hii hapaJamani KUSEMA ukweli imekuwa nongwa?
Basi tufanye imeisha bila bila ofsa mbona unalia?Kwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?
Nilikuwa nairudia kuiangalia ile penati jinsi ilivyopatikana na hapo ndio nikaona kivyovyote hapa Argentina anaandaliwa ashinde
Tangu wafungwe bao la penati unaona kabisa team ilipata mvurugiko ikawa haichezi katika form ya kueleweka na hapo ndio wakafanikiwa kupata bao la pili
Tumechoka!Huyo mbuzi wao anaimbwa imbwa kwa magoli ya penalty tena za mchongo. Ngoja akutane na kijana Mbappe atamuonesha shughuli kama ile ya mwaka 2018
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wamatumbi wa ulaya?Hatoboi kesho wataonewa saana
😂😂😂😂😂😂Eeeh gooooooooal
Perisic anapindua meza hapa
Croatia 2 - Argentina 2
Nilimuuliza pia hili swali maana kakomaa na penati as if haziruhusiwi kisheriaHivi kumbe upo kaka mkubwa?
Haya tuambie, hizo penati sio sehemu ya mchezo? Vipi, watu wakicheza rafu refa asitoe penati kwakua wewe haupendi?
TrueKuna msemo kwenye football.
"The winner celebrates, the loser explains"
Where is Messi ????Wasaudi bwana. Wao wanakula tende Messi huyo kwenye fainali.Vitu kama hivi yule mr benchi hawezi kamwe atakimbilia kwa rafiki yake piers Morgan kufanya interview