Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sisi Waarabu wa Morocco tuna milima miwili ambayo sidhani kama tutaiweza hata kama mpira unadunda.. Yaani tumtoe France halafu tuje kumtoa Argentina.

Walah Kazi Tunayo kuwa Bingwa..!
Acha kutuchungulia Mashabiki wa Morocco.
Hakuna mlima wowote hapo.
Morocco ndio bingwa
 
IMG_1319.jpg
 
Ni dhambi ukiambatana na machafu.... Juzi Al Alama Salih Alfawzan amesema hata zile sijida baada ya magoli ni UZUSHI KATIKA DINI maana mpira hauna kheri yoyote ILA SHARI TU NDIYO KUBWA KULIKO FAIDA....

Kamari, Pombe, nudity, negligence of Salat, enemity, homosexuality etc
Hee! Na nyie wa hivi mpo kwenye huu uzi?
 
Ni dhambi ukiambatana na machafu.... Juzi Al Alama Salih Alfawzan amesema hata zile sijida baada ya magoli ni UZUSHI KATIKA DINI maana mpira hauna kheri yoyote ILA SHARI TU NDIYO KUBWA KULIKO FAIDA....

Kamari, Pombe, nudity, negligence of Salat, enemity, homosexuality etc
Maria.... tatizo sio mchezo wenyewe ila yanayoambata na mchezo....

Ukiuhukumu mchezo ina maana hao wachezaji nao wanatenda dhambi kucheza mpira, unakosea maana michezo haijakatazwa kwenye dini

Dhambi ni hayo ya kando ila mchezo hauna tatizo lolote.
 
Moral of the story do not look look down on people just because they failed once in life..
.......as far as they are determined and work on nd correct their mistakes they may pick up the race and worn the tournament!

Where is Saudi Arabia today? We thank them because they are the reason for this achievement.

Much love to you mate🤍[emoji171]
 
Back
Top Bottom