Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

90+5' Balaa lilikuwa kwa hawa mapacha Messi na Alvarez.
20221213_235617.jpg
 
Mimi siwaelewi watu wanaosema FIFA imepanga Messi anyanyue kwapa WC.
Hivi kwa WC hii ya 2022, kweli mtu unathubutu kuongea upuuzi huu?
Mtanange umekuwa mkali kwa kila timu, zilizoshiriki tumeona maajabu ya underdog team zilivyofanya maajabu.

Tumeona zilizotegemewa kuingia fainali, zikiondoka kwa vilio.
Bado mtasema Messi anapendelewa?
So toka walivyoanza walikiwa wanapewa maelekezo?
Argentina mpaka kufika hapa ni jitihada jamani, kama ilivyo Morocco.
Watu Wana TV zao tofauti .
Hii dunia ngumu sana
 
Back
Top Bottom