Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii mbungi ingenoga kama wangekutana hao wamarekani kusini wawili Brasil Vs Argentina semifinal ya leo,nina hakika ,ungepigwa mpira wa battle moja hatari na yeyote ambaye angeshinda angelala na viatu ,huu mpira umepooza kama nini,
 
Huyo France kama atapita kesho lazima ajipange hasa eneo lake la viungo wa kati hapo ana tatizo ,nadhani wana-wamiss Pogba na Kante.
Victoire
Croatia leo walikuwa vizuri eneo la kati mbona mmeshinda??

Tutashinda bila hao kwasababu uwezo upo, timu mpaka inapata matokeo unaona inapambana na sio kutegemea penati
 
Back
Top Bottom