Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Labda mpewe penati tenana tukichukua kombe..........Nyokoooo yako nyingine hii hapa inakusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mpewe penati tenana tukichukua kombe..........Nyokoooo yako nyingine hii hapa inakusubiri
Thubutuuuuuuu!!! Moroco kwa France HawatoboiiiCroatia amekutana na ngumi ya Ndoige 😂
Kesho Morocco anaweza kutushangaza kwa kumfunga Bingwa Mtetezi 😂
Labda Mwamposa ahame Kawe aende QatarMuujiza croatia 4-3 Argentina
Maajabu yapo
Embu punguzenu nyege wengine tu walokole hapa tusitiane majaribuniKumbe upo macho 🤣🤣🤣!!
Ussshhhhuuuuunggguuuuuu 😁😁😁!!
Usiseme hivyo, maajabu bado hayajaisha hii WC...Thubutuuuuuuu!!! Moroco kwa France Hawatoboiii
Mfaransa kesho asipokaa vizuri atajikuta anazindukia huko kwao baada ya kupigwa na kitu kizitoCroatia amekutana na ngumi ya Ndoige 😂
Kesho Morocco anaweza kutushangaza kwa kumfunga Bingwa Mtetezi 😂
Coratia oooouuuttttttttttttttt!!!!!Embu punguzenu nyege wengine tu walokole hapa tusitiane majaribuni
Usinitie majaribuniNiniii
Nadhani fainali tena Argentina itapewa hata penalty zaidi ya 2 kwa jinsi inavyokariri bila penalty haifiki popote [emoji56]
Croatia leo walikuwa vizuri eneo la kati mbona mmeshinda??Huyo France kama atapita kesho lazima ajipange hasa eneo lake la viungo wa kati hapo ana tatizo ,nadhani wana-wamiss Pogba na Kante.
Victoire