Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ingependeza mchukue kombe afu kibabu kistaafu lakini nikikumbuka kuna France mhhhh poleni
 
Image
 
Sisi Morocco tumeitazama mechi vizuri tu, na tumeona mapungufu yenu.
Huyo andunje tutahakikisha anawekwa kwenye dosho la Amrabat.
 
Nakadori bebe, najua leo furaha iko nyingi mpaka inamiminika.

Niitie Scars na Saint Anne waje tuendelee na darasa la mpira. Waambie leo pia darasa ni bure!

Hao ulowataja wamepoteana Scars Ndo kabisa nguvu hakuwa nazo za kuhimili alikimbia mapemaa...
Nna furaha delete yaniii kesho najitoa out na jez yangu ya Argentina...
Nasubiria final kwa.raha zangu
 
Nadhani fainali tena Argentina itapewa hata penalty zaidi ya 2 kwa jinsi inavyokariri bila penalty haifiki popote [emoji56]
Huyo mbuzi wao anaimbwa imbwa kwa magoli ya penalty tena za mchongo. Ngoja akutane na kijana Mbappe atamuonesha shughuli kama ile ya mwaka 2018

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maria.... tatizo sio mchezo wenyewe ila yanayoambata na mchezo....

Ukiuhukumu mchezo ina maana hao wachezaji nao wanatenda dhambi kucheza mpira, unakosea maana michezo haijakatazwa kwenye dini

Dhambi ni hayo ya kando ila mchezo hauna tatizo lolote.
Hayo ndiyo yanayofanya owe HARAMU kwa sababu huwezi vitenganisha kwa sasa
 
Timu Morocco tujuane kabisaa kabla hapaja pambazuka.
Mamluki hatuwataki.
Kama ulisha shabikia Brazil sijui England, samahani tusameh, hatuhitaji msaada wako.

MOROCCO NDIO BINGWA
 
Back
Top Bottom