Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tusubiri Kwanza livunde kisha baada ya hapo ndio tuutafute ubani, show ya wa Morocco kawaulize wareno na wahispania watakusimulia,
 
Mwaka 2018 Mbappe ndio aliimaliza ndoto ya Messi kubeba ubingwa mwaka ule na ninaliona hilo siku ya J2 likitokea.

Kama unabisha leta mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Magoli ya Messi ni ya akili
Sasa imagine possession walizidiwa na Croatia ila magoli wao ndo wanaongoza...
Yani kipa wa Argentina leo alikuwa likizo
 
Nitavokusagia badae
Utajutraaaaa D

Davet
HaπŸ˜„ haπŸ˜„ h!!!!!

Nakuhurumia sana D maana kila dua unazopiga zinakukataa

Ngoja leo tuone nani atakutana na Argentina πŸ‡¦πŸ‡· kwenye fainali

πŸ“ŒPunguza kukunja, Uwe unatoa pongezi japo kinafki D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…