Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

WanaArgentina wenzangu nipo.. Ni vile tu nilikua kdg safar nimeangalia game kwa vipisi vipisi kwny Dstv now(kesho narudia game nzm kwa furaha[emoji23]) lkn nipende kuwaambia tu tutapambana kwa jasho la damu tutafia uwanjan iyo final aje yoyote tu aje yoyote tutacheza naye.

Najua haters hawaelew na hawaamin wanachokiona.. Tumewapa nafas endeleen kubadilisha team lkn sisi tunaendelea kuwa prove wrong na kushinda.

Tukutane wana J2 wana ALBICELESTE.. GOD will save#The[emoji238]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Tusubiri Kwanza livunde kisha baada ya hapo ndio tuutafute ubani, show ya wa Morocco kawaulize wareno na wahispania watakusimulia,
 
Somos finalistas
IMG_1335.jpg
 
Mwaka 2018 Mbappe ndio aliimaliza ndoto ya Messi kubeba ubingwa mwaka ule na ninaliona hilo siku ya J2 likitokea.

Kama unabisha leta mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Magoli ya Messi ni ya akili
Sasa imagine possession walizidiwa na Croatia ila magoli wao ndo wanaongoza...
Yani kipa wa Argentina leo alikuwa likizo
 
Back
Top Bottom