Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ant Argentina guys wengi wenu hamna hoja but conspiracy, and deep inside you nawewe pia una utimu, udini na itikadi nyingine kama ulivyowahukumia vijana kuwa wanavyo

Nini kilikusababisha uache kufuatilia WC?? Eti sababu Argentina anabebwa???mbona sababu dhaifu/ mfu kabisa???

Ngoja nikutajie team kubwa pengine bila shaka zingemfunga Argentina zilizotoka afu uniambie kuwa zilifanyiwa figisu ili Argentina asikutane nazo

Brazil: alifanyiwa figisu????
Spain: alihujumiwa???
German: alifanyiwa ukiritimba???
Belgium: alifanyiwa njama???
Portugal: alifanyiwa njama???

Hao Argentina wenyewe ni kama tu kisimati tu mungu kaamua hivyo

Alipigwa na saudia akawa anahitaji point sita kwa Mexico na Poland ili afuzu na zile kw a taarifa yako ndio zilikuwa game muhimu kwa Argentina kuliko hata hiyo ya Croatia... Je katika hizo game mbili za Mexico na Poland ambazo zote alishinda goal mbili bila kuna goal penalty (kwasababu nyie tafsir yenu penalty ni kubebwa) tulipata penalty dhidi ya Poland ila tulikosa

Mpira ni mchezo wa wazi wenye waamuz watano katika uwanja plus VAR hivi Argentina angefungwa goal tatu au mbili ya halal wangeyafuta au kuyakataa na dunia inaona???

Mbona game dhidi ya Netherlands ziliongezwa ten minutes hadi tukachomolewa goal ingekuwa yaandaliwa kuwa bingwa na alikuwa keshazidiwa zisingeongezwa hata dakika nane achilia mbali kumi

Mbona hatujaona akifungwa na goal kukataliwa???

Acheni propaganda za ajabu ambazo hazipo kwa sababu timu zenu zimetoka acheni chuki binafsi

Messi mwenyewe ana goal tatu za penalty katika mechi sita na ni za halal lakini zinavyoongelewa utafikiri magoal yote 11 ya Argentina ni penalty

Msiishi kwenye mi conspiracies eti kila kitu mnaamini kuna something behind huo pia ni ugonjwa....ni kweli Wenda watu wengi wanatamani messi ashinde WC lakini sio kuja kusema anaandaliwa, anaandaliwa vipi sasa na akifungwa na team pinzani goal zitafutwa??? Mbona alivyosawazishiwa na Netherlands goal hazikukataliwa??? Na magiant wote waliotoka ambao hawakukutana na Argentina ila walikuwa wanauwezo wa kumfunga na kumtoa pia ni planned???

Hamna hoja mna rukaruka tu



Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Na huyo messi katika game sita kawa Man of the match katika match nne, na kila match ya knock out stage pia kawa man of the match...... Hiyo pia anabebwa??? Jumapili akipewa player of the tournament mtasema mchongo.....ila Tanzania bwana huwa ina wachambuzi wa mpira wapo biased sana tena when it comes pale wana mapenzi binafsi au kutokuwa na mapenzi na kitu, aya hizo MOTM pia mseme mapema ni ipi kapewa ili tuzipunguze mapema

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 

Umenena vyema kabisa mkuu, hawa viumbe chuki binafsi ndiyo zinawasumbua.

Nawatapata ugonjwa wa moyo this time round[emoji23][emoji23] wawe tu na pesa ya kwenda India.
 
Hayo ndiyo yanayofanya owe HARAMU kwa sababu huwezi vitenganisha kwa sasa
Utachoka sana ukiyawaza hayo,, ishi ukiamini unapita!!
Wanaonadi hayo leo kwenye nchi zao soka linachezwa Hadi na madada na watu wako majukwaani wanashangilia!!
Kuna watu wanakataa Hadi jezzi ila et freemason ila wachezaji wanawajua na kuwafatilia huku wakipinga mchezo wenyewe!!
Hujiulizi kwa nn wanapinga nyimbo za madisco lakini wakitoa mifano wananukuu nyimbo hizo kwa kuziimba?!!
Tanzania tu na Imani zetu za kinafki ndo tuna huu ujinga,,,
Ishi na enjoy maisha aisee maana tuna kipindi kifupi sana hapa Duniani,,, soma kitabu wewe mwenyewe usitake wakutafsilie utaambiwa kuna sadaka ya kujimaliza!!!!
 
Sasa unalia nini?
 
Morocco coach Walid Regragui: "European journalists do not like African teams playing like Europeans. In the past African teams were seen as teams who played for fun but were not effective. Those days are over."We're very ambitious, hungry. Confident and determined to rewrite the history books. We want Africa to be top of the world."... yale maneno ya kuwa morroco wanawakilisha waislamu na waarabu yanakuzwa na media za western ...nasimama na morroco
 
Yan Mkuu hawa haters uchwara ndo unaangaika kujibu hoja zao za vijiweni kwny kahawa.

Usiangaike na watu ambao wana visonono na team zao ziko nymbn ndo maana wanatapa tapa.

Tusave iyo energy tukashangilie final achana na hawa maadui uchwara ambao wana hoja mfu.

Vamoooooooooos [emoji1033]
 
Weka clip hapa akiongea hivo,otherwise hakuna ukweli wowote hapo
 
N
inachosema matendo ya watu hayahalalishi yaliyo ya HARAMU.... Bwana Mungu wetu ametutaka TUSIZINI, hata wakizini WATU WOTE DUNIANI haimaanishi SHERIA YA MUNGU IMEBADILIKA..
 
Yan hawa mkuu unaona wanaangaika ivi kwa sbb either Team zao Pendwa ziko nymbn au shabik lia Lia wa cr7 au hater tu wa Argentina na Messi.

Sasa sik zote lzm mtu atafute kichaka cha kujificha apunguze aibu au ajipe moyo.. Ww waache waongee wanavotk j2 tukibeba kombe kuna wengne hautawaona kbs hapa.

Vamoooooooooos LA Albiceleste [emoji1033]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…