Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Timu zote zilizoshiriki waunde kikosi kizima na hawataweza pambana na Argentina, jana mshkaji kama kawaida yake anasepa na kijiji
Muwe na akiba za maneno Mashabiki maandazi wa Argentina maana mpira huwa unadunda na wakati mwingine matokeo ya mpira huamuliwa kwa bahati tu [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…