ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Hawa Waarab wakiingia fainali tutabaguliwa sana... Yaani kuingia tuu nusu fainali hatupumui...
Bora wakagombanie nafasi ya 3...
Bora wakagombanie nafasi ya 3...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya muda utaniambia ni nani aliyedandia mtumbwi wa vibwengo, nitakusubiri hapa hapa.Unamaanisha morocco mkuu, this is world cup lolote linaweza kutokea ila leo kadandia mtumbwi wa vibwengwo.
Leo upo kwa wakoloni au upo kwa waarabu waafrika?Ngoja kwanza niwahi sitii hapaaa🙇🙇🙇
Muda utaongea mkuuBaada ya muda utaniambia ni nani aliyedandia mtumbwi wa vibwengo, nitakusubiri hapa hapa.
Tiketi ya ndege ushakata?Ufaransa tunaingia kibingwa kabisa[emoji91][emoji108]
Kazi yetu ni moja, kupeleka moto[emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata mie namtaka hyo mbape maaana watuu wanaona eti mess swa na mbape hawana adabu ngoja wajeLeo mimi pia nasimama na mbappe maana nataka nilipe kisasi cha 2018 Russia kwenye fainali.
Muwe na akiba za maneno Mashabiki maandazi wa Argentina maana mpira huwa unadunda na wakati mwingine matokeo ya mpira huamuliwa kwa bahati tu [emoji1787]Timu zote zilizoshiriki waunde kikosi kizima na hawataweza pambana na Argentina, jana mshkaji kama kawaida yake anasepa na kijiji
Ngoja niscreen shortFrance akishinda leo mniiite khadija maunk
Muwe na akiba za maneno Mashabiki maandazi wa Argentina maana mpira huwa unadunda na wakati mwingine matokeo ya mpira huamuliwa kwa bahati tu [emoji1787]
Waarabu wanajiamini sana kiukuta hadi waweke 5 - 4 - 1 au ndiyo kutaka washtukize mashambulizi ya ghafla kisha wabaki kuzuia tu mwanzo mwisho [emoji848]
Mie mzalendo japo washatusalitii na najua tutaogeshwaaa magoliii!!Leo upo kwa wakoloni au upo kwa waarabu waafrika?
France ndio Waafrika!