Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Hahahahaha 🐐 anawasubiri awanyonye maziwaHivi france wanamjua wanae enda kukutana nae fainali au wanafurahi tu kuwafunga waarabu
Tupo wengi, japo lolote linaweza kutokeaNadhani waafrika wengi leo wanashabikia France
🤣🤣🤣🤣🤣Sema kuangalia mechi Tbc inahitaji uzalendo sana na moyo wa kujitoa.. Mbona picha leo ni nyeupe hivi au Qatar muda huu kuna jua kali?
Hata wewe mwenyewe unajua kuwa unatania.Hivi france wanamjua wanae enda kukutana nae fainali au wanafurahi tu kuwafunga waarabu
Kuna kiingilio hapa??Si ukalale tu Unatafuta nini hapa?
Ndio hata mimi nashangaa!Yan France amuogope argemfyko upo serious kweli uyo Messi xaiz tumbo lishamjaa Gesi we mtu wa sumbawanga unapata wapi jeuri yakuto waogopa France
Poleni sis!!Huku leo wametuamlia saa tatu na dkk kadhaa umeme wakaucancel
Wameswmajee mkuuNipo Kibanda umiza aisee Morroco wameharibu sana kauli zao za kibaguzi.
YesKuna kiingilio hapa??
Inahitaji Uzalendo kweli kweli ule wa ndani kabisaSema kuangalia mechi Tbc inahitaji uzalendo sana na moyo wa kujitoa.. Mbona picha leo ni nyeupe hivi au Qatar muda huu kuna jua kali?
Zile kauli za Ushindi huu ni waarabu na waislamu etc..Wameswmajee mkuu
Nachungulia humu nijue fainali nani na nani watavaanaPoleni sis!!