February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Wameonewa...ufaransa inabebwaHivi hyo kadi imekuwa halali kweli? Mbona Kama Morocco wameonewa hapo jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameonewa...ufaransa inabebwaHivi hyo kadi imekuwa halali kweli? Mbona Kama Morocco wameonewa hapo jamani
Hata dstv ninapoangalizia hapa bar screen ni nyeupeSema kuangalia mechi Tbc inahitaji uzalendo sana na moyo wa kujitoa.. Mbona picha leo ni nyeupe hivi au Qatar muda huu kuna jua kali?
Kalale wewe, sisi bado tunaimani na Morocco. Ili game ya fainali iwe rahisi kwa king Messiah.Game over Final ni Argentina [emoji1033] vs France [emoji632] hii Morocco [emoji1173] team wamezoea kuzuia na kuanza wao kuscore ila uwezo wa kusawazisha hawana tukalaleni
Morocco wa kawaida sana Mkuu..Leo Morroco ndio tutajua wapi panavuja ubora wao uko wapi 😅😅😅😅😅😅😅
Maamuzi ya refa ni ya mwisho. Huo ndiyo mchezo wa mpira ulivyo. Refa anayo mamlaka ya kukataa hata VAR.Hivi hyo kadi imekuwa halali kweli? Mbona Kama Morocco wameonewa hapo jamani
We unachuki binafsi na Messi kwa alivomtetemesha vidole babu Ferguson fainali fulani ya UEFARaphael varane katakataa balaaaa njoo Kwa mabeki ya argemfyko Sasa sjui otamendi sjui Romeo sjui acunya wamekaa kama wavuta Bangi wa Temeke
Weka Facts..acha hisiaKwamba huon alichokifanya?
Makosa ya kibinadamuHivi hyo kadi imekuwa halali kweli? Mbona Kama Morocco wameonewa hapo jamani
Na wanapigwaaaaa kama ngomaZile kauli za Ushindi huu ni waarabu na waislamu etc..
Twenzetu tukalale, kazi ishaishaMimi tena??nooo
Yani sijawahi washabikia bora ufaransa kama watachukua kombe kuliko hao wabaguzi
Ww nakuachia tuu mifupa inakutoshaUna hela ya kuhonga wewe!?
Hebu nenda Kalale
😀😀😀Twenzetu tukalale, kazi ishaisha
Leo mabingwa tunakipiga kwanini usifagilieThanx dia ila sina mcheche kivilee timu za leo sizifagilii
Hawana jipya bro, uwe na amani ushindi ni UfaransaNdugu zangu Wafaransa samahani nimechelewa kidogo sababu ya majukumu, hebu nipeni updates gemu mnaionaje tumeikamata? Hao waarabu wana jipya?