Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sema kuangalia mechi Tbc inahitaji uzalendo sana na moyo wa kujitoa.. Mbona picha leo ni nyeupe hivi au Qatar muda huu kuna jua kali?
Hata dstv ninapoangalizia hapa bar screen ni nyeupe
Haina quality kubwa. Au ni aina ya TV inakuwa na quality mbaya ya video.
 
Game over Final ni Argentina [emoji1033] vs France [emoji632] hii Morocco [emoji1173] team wamezoea kuzuia na kuanza wao kuscore ila uwezo wa kusawazisha hawana tukalaleni
Kalale wewe, sisi bado tunaimani na Morocco. Ili game ya fainali iwe rahisi kwa king Messiah.
 
Back
Top Bottom