Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Twende mbele turudi nyuma hyo kadi haikuwa halali, Morocco walionewaMaamuzi ya refa ni ya mwisho. Huo ndiyo mchezo wa mpira ulivyo. Refa anayo mamlaka ya kukataa hata VAR.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende mbele turudi nyuma hyo kadi haikuwa halali, Morocco walionewaMaamuzi ya refa ni ya mwisho. Huo ndiyo mchezo wa mpira ulivyo. Refa anayo mamlaka ya kukataa hata VAR.
Hii kwangu naona ni leo tuHata dstv ninapoangalizia hapa bar screen ni nyeupe
Haina quality kubwa. Au ni aina ya TV inakuwa na quality mbaya ya video.
Nataka kujua tuu nani ni nani..kwnza hakuna umemeLeo mabingwa tunakipiga kwanini usifagilie
Shikamoo KalpanaWw nakuachia tuu mifupa inakutosha
Silali mpk mwisho kama vipi nipige ban
Mmmmh dstv mbona full hdHii kwangu naona ni leo tu
Nunua TV original mkuu achana na tv za kichina za 76,000 KariakooSema kuangalia mechi Tbc inahitaji uzalendo sana na moyo wa kujitoa.. Mbona picha leo ni nyeupe hivi au Qatar muda huu kuna jua kali?
Labda TV Mkuu ila quality ya picha ya TBC na WCA HD au WCC HD tofauti ni kubwa sanaHata dstv ninapoangalizia hapa bar screen ni nyeupe
Haina quality kubwa. Au ni aina ya TV inakuwa na quality mbaya ya video.
Uhalali wake ni kwa kuwa imetolewa.Twende mbele turudi nyuma hyo kadi haikuwa halali, Morocco walionewa
Naaam swadakta napokea 😛Shikamoo Kalpana
SawaNunua TV original mkuu achana na tv za kichina za 76,000 Kariakoo
Ni quality ya TV piaMmmmh dstv mbona full hd
SawaNi quality ya TV pia
TV ya home quality ilikuwa tamu hadi raha ila ya hapa bar sio kabisaaa na zote ni dstvLabda TV Mkuu ila quality ya picha ya TBC na WCA HD au WCC HD tofauti ni kubwa sana