Tusubiri matokeo sasa ya mbabe wa leo kwa pamojaNaaam swadakta napokea 😛
Messi anajifua hukoIla Ufaransa ikicheza hivi na Argentina mesi atawasumbua.
Unaangalizia wap mechi auntWabongo tuache ujau
Hapa naskia miwatu inasema eti Morocco wanaloga ndo maana magoli ya France yanadunda
Uongo!Hii game ukiangalia kwa jicho la kimpira kuna uwezakano Mkubwa Morocco akashinda.
Ana njaa nalo sana.Messi anajifua huko
Kombe mwaka huuu lake
France anachukuaMessi anajifua huko
Kombe mwaka huuu lake
Yule jamaa wa Morocco alijulirusha kumudanganya mwamuzi,hilo ni kosa kibongo bongo unakula nyekunduTwende mbele turudi nyuma hyo kadi haikuwa halali, Morocco walionewa
Ulikua Argentina wewe.Kuna watu tupo tunawapelekea moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Janja janja ndo mwisho Wake huu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo kazi wanayoiwezaMbona wanataka kuvunja miguu wachezaji wetu hawa waarabu
Beki hii ya konate na varane kina messi wanaipasua kama chainsaw.Raphael varane katakataa balaaaa njoo Kwa mabeki ya argemfyko Sasa sjui otamendi sjui Romeo sjui acunya wamekaa kama wavuta Bangi wa Temeke
Leo niko France. Tukicheza Final narudi Argentina...Tumekosa?
Mbona unatumia wingi wakati shuhuli sio yako?
We si Argentina imekuwaje tena?