Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Jamani wake walao shika naniliu waendelee kushika aisee kuna kila namna goli linarudi!
 
Kama mim nasema uongo watu watasema juz apa kiungo wenu kweny mechi na Holland alipiga mpira kweny bechi la dutch maksudi kabisa kama sio Bangi ni nin kile
We bado unaumizwa na game ya Uholanzi? Ndo maana bongo tunazeeka bado vijana. Fuatilia Dutch walifanya nini mechi yao na ureno 2006 utajua mtumiaji wa bangi zaidi ni nani kati ya Argentina na Wadachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…