Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmeanza kuomba wachezaji wetu wavunjike mwanzo mlisema nyiny yoyote yule mnatakaAjeruhiwe tu njia yetu j2 iwe nyeupeeee tupunguze vigingii
😃😃😃😃adui muombee njaammeanza kuomba wachezaji wetu wavunjike mwanzo mlisema nyiny yoyote yule mnataka
Goli gani kujoa ukalale umesahau mechi na ENGLAND kilitokea kitu GaniJamani wake walao shika naniliu waendelee kushika aisee kuna kila namna goli linarudi!
Sinaga wivu mie bhana nipo kama Mkandamizaji 😂Wivu tu 🤣🤣🤣🤣🤣
We bado unaumizwa na game ya Uholanzi? Ndo maana bongo tunazeeka bado vijana. Fuatilia Dutch walifanya nini mechi yao na ureno 2006 utajua mtumiaji wa bangi zaidi ni nani kati ya Argentina na WadachiKama mim nasema uongo watu watasema juz apa kiungo wenu kweny mechi na Holland alipiga mpira kweny bechi la dutch maksudi kabisa kama sio Bangi ni nin kile