Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

We bado unaumizwa na game ya Uholanzi? Ndo maana bongo tunazeeka bado vijana. Fuatilia Dutch walifanya nini mechi yao na ureno 2006 utajua mtumiaji wa bangi zaidi ni nani kati ya Argentina na Wadachi
Mim nilizan uzungumzia uhuni wa 98 walikoua wanaufanya kina dider deschamps we unazungumzia 2006 kojoa ukalale kumbe nabishana na kijana mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…