Morocco walijikweza sana Acha waonje joto ya jiweTimu ya afrika haina mweusi hata mmoja halafu timu ya wazungu imejeza weusi. And they're proud for having black men.
Mizimu ya pangani imekasirika sana😅
WakomeKaharibu kiungo.
Kizazi kinapoteaje?Hio imezimu miaka yote imeisaidia nn Africa bhana
Morocco wamejitahidi ,kikubwa kizazi Chao kisipotee tu ,
Hope hawajabeba majambia kwenye kanzuNdio manake wanapiga miruzi tu huko leo watalala mashavu yanawauma.
Haina haja ya kumsumbua Mungu kwa maombi. Huwa tunaomba pale tunapoona jambo hatulimudu ila kwa hili, mwache Mungu ahangaike na yatima na wajane.Asante Argentina na Mungu wetu wa mbinguni muumba mbingu na ardhi kwa kiwanyamazisha watu baada ya mechi ya jana.
Mechi ijayo najua Mungu hutatuangushaa
Hata England ilikua ivo ivo mkuuTumewakosa tumewakosa ile mbaya.