Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Timu ya afrika haina mweusi hata mmoja halafu timu ya wazungu imejeza weusi. And they're proud for having black men.

Mizimu ya pangani imekasirika sana😅
Hili sio tatizo sababu hao ni wafaransa kama ambavyo wazungu wa SA ni wa afrika. Tatizo ni kauli za ajabu ajabu walizotoa.
 
Waleteni hao mapunye kirikuu kombe la dunia labda waliibe tu Argentina [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
JamiiForums1133524746.jpg
 
Back
Top Bottom