Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Waafrika wanaongeza goli huko, wamefanya kazi ya ziada.


Hapo katikati pamevuja sana baada ya Sofiane na mwenzake kutoka at once, makosa ya kocha na temper zake baada ya kuchelewa kupata goal zimemharibia.
Wala kocha hana la kulaumiwa hapo, jamaa ni bonge la kocha sema hao wachezaji wake ndo uwezo mdogo kufunga magoli.
 
IMG-20221211-WA0021.jpg

Asanteni Kwa kushiriki. Majukwaa yetu yatapwaya.
 
Back
Top Bottom