Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Page inaruka ruka kama sijui kitu ganiinajiandaa kushangilia France akibeba kombe la Dunia Kwa mara ya pili mfululizo
Wala kocha hana la kulaumiwa hapo, jamaa ni bonge la kocha sema hao wachezaji wake ndo uwezo mdogo kufunga magoli.Waafrika wanaongeza goli huko, wamefanya kazi ya ziada.
Hapo katikati pamevuja sana baada ya Sofiane na mwenzake kutoka at once, makosa ya kocha na temper zake baada ya kuchelewa kupata goal zimemharibia.
Shida uwezo.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na watokeeeee tyuuh,
[emoji632] wafanye waabaki nalo hili kombe, wasikubali [emoji1033] wabebeee khaaaaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujaolezesha wezako ili tujue tunawapaje poleKuna mgogoro kwenye kambi yatimu ya taifa la moroco [emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama mshindani yupo ajitokeze. Sio kusubiti atoke alipo sasa ndio ajitokezeAtoke kwanza huko mafichoni (PSG), atapata tu mshindani.
Untumie japo buku 5 mpiga kelele mwenzangu
Sisi sio Morocco alooh msije tu kuanza kulia hovyoWachukueni hata wote, jichanganye mjijumlishe halafu mje😁
❤️💙🤍🔥
Morocco ni ya waarabuNi kweli utadhani timu ya Ufaransa ndiyo ya Afrika na ile ya Morocco ni nje ya Africa.
Labda acheze.mpira mpya, sio huu na wa England.
TakbiiirTimu ya afrika haina mweusi hata mmoja halafu timu ya wazungu imejeza weusi. And they're proud for having black men.
Mizimu ya pangani imekasirika sana😅