Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allahu AkbarDakika ya 84
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na watokeeeee tyuuh,Waarabu wanatoka.
Untumie japo buku 5 mpiga kelele mwenzanguNilibet WC final itakuwa Argentina vs France.
Ngoja nisubiri kibunda[emoji28][emoji28]
Kwamba mpaki basi dhidi ya Morocco then mcheze counter?France tunacheza kwa mujibu wa plan yetu.
Umelete dini tena hukuMorocco anachezea nyundo za Wakatoliki huko mpaka aibu
Ni kweli utadhani timu ya Ufaransa ndiyo ya Afrika na ile ya Morocco ni nje ya Africa.Hahaha holaaaa wamatumbi
TakbrJihad
inajiandaa kushangilia France akibeba kombe la Dunia Kwa mara ya pili mfululizoAiseee hii page jf inaruka ruka mpaka kero au ndio nayo inashangilia goli wtf
Atoke kwanza huko mafichoni (PSG), atapata tu mshindani.Baada ya Ronaldo na Messi kuna Mbappe anakuja juu kuchukua nafasi zao hao sijui nayeye atakua na nani wa kushindana nae
Alllah Akbar Hawa vijana wa Parokiani si mchezoTakbr