Mbappe kashamzidi huyu Messi penalty [emoji23]Aah mbona Messi ni fanboy wa maradona ila bado wanalinganishwa tu.
Hiyo sio sababu...sababu ni uwezo.
Mbappe ashamzidi Ronaldo tena mbali tu.
Huwaonei hata kahuruma kidogo mkuu?Sasa nilale kwa furaha tele... Moyo una amani kwa waarabu kulambishwa mchanga...
Na jumamosi nipo kwa Mtakatifu Luka....
Ubaya ubaya.....
Ewaaaa[emoji7]Sasa nilale kwa furaha tele... Moyo una amani kwa waarabu kulambishwa mchanga...
Na jumamosi nipo kwa Mtakatifu Luka....
Ubaya ubaya.....
France atauchukua ubingwa tena.Argentina wana timu mbili ndani ya timu moja (Messi na timu ya Argentina)... Ufaransa wajipange Sana.
Wakati wanafugwa 2018 walikua na timu ngapi au Messi alikua kwenu namtumboArgentina wana timu mbili ndani ya timu moja (Messi na timu ya Argentina)... Ufaransa wajipange Sana.
Ushindi wa Ufaransa ni ushindi wa dunia,watu wa kabila na dini zoteWaafrika tunasema ushindi wa ufaransa ni ushindi wetu sote [emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]
Ndio ndio [emoji23][emoji23][emoji23]Morocco angetusumbua lkn huyu Mfaransa asubuhi tu tunapewa kombe letu
Wa kelele.France atauchukua ubingwa tena.
Wale team virikou huwa wanajizima data,picha za hivi hawazioni.Safi, wametolewa hawa wabaguzi wa wa-Afrika weusi. Cha kupendeza zaidi wametolewa na watu weusi. View attachment 2447118
Huwaonei hata kahuruma kidogo mkuu?
Ngoja tuone... Hio ni mechi kali...Argentina atatufuta machozi... inshaallah..
You betYou wish.
Lakini tulikubaliana kuwa hatupaswi kusifiaFACT
Magoli yote ya ufaransa yamepatikana baada ya dogo Mbappe kupiga mpira ukarudi majamaa yanamalizia kiulaini kiwepesi.
Kazi ipo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbappe kashamzidi huyu Messi penalty [emoji23]View attachment 2447120
🤣🤣🤣🤣🤣 kiukweli hata mimi sitaki kukumbuka kabisaa, watu tulishabikia jwa nguvu zote kumbe jamaa si wenzetu.Sina huruma nao... Nikikumbuka mechi ya Spain nilivyobana pumbu akaja msenge kutema mbovu, nimewachukia....