100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Nawapenda France, match ya leo it was like France wanacheza na timu ya Ulaya, Kumbe France wanatoka Ulaya?Viva FranceView attachment 2447117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapenda France, match ya leo it was like France wanacheza na timu ya Ulaya, Kumbe France wanatoka Ulaya?Viva FranceView attachment 2447117
Mlete mvunja mabarafu hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Hutasikia tena kelele za waarabu koko wala wafia dini, na ndiyo mwanzo wa kupumzika humu JF kwa nyuzi za vibwengo [emoji38][emoji2960]
Itakuwa anamfukuzia sasa amfikie na ronaldo kwa penalty.Mbappe kashamzidi huyu Messi penalty [emoji23]View attachment 2447120
Refa wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]Kumzidi kivipi mkuu
Hawa watoto kina Mbape Haaland na wengineo mpaka aashinde balon d or kadhaa ndo inabidi walinganishwe na hao magwiji wengine
Sasa hivi waachwe walisakate kabumbu
Kama uliona tobo alilopigwa[emoji1541][emoji1541][emoji1541] huyu jamaa gonga like
View attachment 2447107
Jamaa adi anamfata dogo anamuambia "umeshindwa hata kunivungia mkuu na upaa wote huu!"
Dogo anasema " aaaa hamna wembe ni ule ule...mwendo wa kiberenge tu"
Usiku mwema
Aaahaa Kumbe kocha ndio anachezesha mpira?Kocha wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
Bila penatiMbappe hanaga swaga za mbeleko, peleka huo uchuro wa kubebwa bebwa kwa Messi wenu [emoji2]
Ukweli usemwe mbali na Argentina kubebwa bebwa kwa penati tele lakini kiukweli wako vizuri zaidi kuliko France.Argentina wana timu mbili ndani ya timu moja (Messi na timu ya Argentina)... Ufaransa wajipange Sana.
Ongeza sauti [emoji847]Hawakutushirikisha kwenye shibe, sasa wanataka tushiriki njaa yao? Hapana aisee. Kufungwa kwa leo ni kwa wamorocco, waarabu na waislamu wote
Hayo yalishapita... subirini Jumapili Messi atawanyoosha mtapotea humu jamvini kwa aibu.Wakati wanafugwa 2018 walikua na timu ngapi au Messi alikua kwenu namtumbo
.Eeeh Allah tunaomba uwasaidie watu wako Bora uliowaumba (Waarabu) wapite hii Hatua Aamin.
Unawastua Argentina mbeleko kuwa Mbappe ni Mtu na nusu wakiiona hii picha watakuwa wanamkaba wanne wanne siku ya fainali kuu Chifu [emoji1732][emoji1]Safi, wametolewa hawa wabaguzi wa wa-Afrika weusi. Cha kupendeza zaidi wametolewa na watu weusi. View attachment 2447118
Timu mapenati ya mchongo hiyo imsumbue naniHayo yalishapita... subirini Jumapili Messi atawanyoosha mtapotea humu jamvini kwa aibu.
Scars and 100 others Saint Anne Tate Mkuu Interlacustrine E Dream Queen
AibuHivi kuna watu na akili zao zenye utimamu walikua wanaiona Morocco akiifunga France?? [emoji23][emoji23][emoji23]
History itawahukumu vizazi na vizaziMorocco wanaweza wasifike tena hii hatua miaka 90 ipite
Laana ya ubaguzi itawala