Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mbappe kashamzidi huyu Messi penalty [emoji23]View attachment 2447120
Itakuwa anamfukuzia sasa amfikie na ronaldo kwa penalty.
Screenshot_20221215_002210.jpg
 
Kumzidi kivipi mkuu

Hawa watoto kina Mbape Haaland na wengineo mpaka aashinde balon d or kadhaa ndo inabidi walinganishwe na hao magwiji wengine

Sasa hivi waachwe walisakate kabumbu

Kama uliona tobo alilopigwa[emoji1541][emoji1541][emoji1541] huyu jamaa gonga like

View attachment 2447107

Jamaa adi anamfata dogo anamuambia "umeshindwa hata kunivungia mkuu na upaa wote huu!"

Dogo anasema " aaaa hamna wembe ni ule ule...mwendo wa kiberenge tu"

Usiku mwema
Refa wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
 
Kocha wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
Aaahaa Kumbe kocha ndio anachezesha mpira?

Tatizo nyie mabinti mnaomshabikia Christina Benchaldo hata mpira hamjui halafu mnajaza humu server bure
 
Argentina wana timu mbili ndani ya timu moja (Messi na timu ya Argentina)... Ufaransa wajipange Sana.
Ukweli usemwe mbali na Argentina kubebwa bebwa kwa penati tele lakini kiukweli wako vizuri zaidi kuliko France.

Sina shobo na Argentina waliopoteza vinasaba vya weusi wenzetu nchini kwao sababu ya ubaguzi wa rangi, bahati ya kubeba ndoo iwe na France, AMINA [emoji120][emoji119]
 
Back
Top Bottom