Fikiria tu kwambaMzee kuna Shida?
Kipigo tutampiga Argentina kesho kitamfanya Messi aone sikukuu za Xmas na Mwaka mpya ni upuuzi tu.Me nasubiri gemu ya jpili nione kandanda la kufa na kupona
Na yule mweje jezi namba 8 piaLeo mechi haina presha ndio viwango halisi vya wachezaji vinaonekana
Nimegundua morocco mchezaji bora ni moja tu hakimu ashirafu
Boufal na yule namba 8 unamsahau vipi?Leo mechi haina presha ndio viwango halisi vya wachezaji vinaonekana
Nimegundua morocco mchezaji bora ni moja tu hakimu ashirafu
Ngoja tumuulize Utopolo mwandamizi Tate Mkuu na katibu wake ShadeeyaYanga wanacheza Dar ambapo ndio makao makuu ya Club yao yalipo
Sasa nashangaa kuona basi la timu limefika uwanjani halafu wachezaji wanashuka wakiwa na mabegi makubwa ya futi 4 hadi 5
Nimebaki najiuliza, kutoka Avic hadi kwa mkapa unabeba mbegi mkubwa kama ule, je siku wakienda Misri hawa itakuwaje?
Au wanabeba tu kama unyamwezi
Mechi ngumuKipigo tutampiga Argentina kesho kitamfanya Messi aone sikukuu za Xmas na Mwaka mpya ni upuuzi tu.
🤣🤣🤣🤣Raha sana 🤣Imefungwa tena hii mijamaa ya morocco
Na yule mweje jezi namba 8 pia
Boufal na yule namba 8 unamsahau vipi?
Yzech naye?
We vipi mzee!!
Kwanini wasingekuja tu na rasket softly?
Hapana wako vizuri sana tena sana we wafatilie hata lipindi cha pili utanambiaSina imani nao hao naona km ni wachezaji wa mashindano zaidi kuliko ligi
Yule ndo kaipambania Morocco kuliko huyo hakimiYule sina imani naye
Ngoja tuone lolote linaweza kutokeaMechi ngumu
Ila naziona kila dalili za Messi kuchukua ubingwa
Mwamposa amechelewesha vipi wakati chako ni chako alimaliza asubuhi na mapema!Bongo banaa, eti Mwamposa kachelewesha mechi ya Yanga kuanza.