Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yanga wanacheza Dar ambapo ndio makao makuu ya Club yao yalipo

Sasa nashangaa kuona basi la timu limefika uwanjani halafu wachezaji wanashuka wakiwa na mabegi makubwa ya futi 4 hadi 5

Nimebaki najiuliza, kutoka Avic hadi kwa mkapa unabeba mbegi mkubwa kama ule, je siku wakienda Misri hawa itakuwaje?

Au wanabeba tu kama unyamwezi
Ngoja tumuulize Utopolo mwandamizi Tate Mkuu na katibu wake Shadeeya
 
Ngoja tumuulize Utopolo mwandamizi Tate Mkuu na katibu wake Shadeeya
Kwanini wasingekuja tu na rasket softly?

Simba wamepanda ndege kwenda Mwanza wakiwa na rasket tu, begi la kubuluza lilikuwa moja au mawili kama sikosei nayo yalikuwa ya technical bench

Sasa Avic town kwenda kwa Mkapa watu wamebeba hadi mabegi ya remote kwa afya yangu hata kuliburuza peke yangu siwezi

Au ni promotion ya bidhaa za GSM?
 
Screenshot_20221217-185944_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom