Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yaani unataka wachezaji wa Yanga waishi kama wale wa simba! Inawezekana kweli? Yanga ni next level! Let them enjoy to the fullest.
 
Mwambie Scars basi la Yanga linaruhusu wachezaji kubeba hata magodoro, na kuja nayo uwanjani! Maana ni kubwa, na linaruhusu! Let them enjoy bhana!!

Siyo coastal ile!!
Simba imekwea flight kwenda mwanza na bado wachezaji walikuwa na rasket tu

Nyinyi mnatoka jikoni mnaenda sebleni unabeba begi zito afu kunwa utafikiri unaenda Space??
 
Halafu kuna kitu ambacho kinanitatiza ta gu mwanzo kwenye hizi mecgi za Morrocco

Hivi kifupi cha Morrocco kwanini ni MAR na sio MOR?
Kuna shabaki nimemuona jukwaani kashika skafu (mtambio) umeandikwa MAROC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…