Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wajinga sana hawa yani wanafika hadi golini lakini wanataka kufunga kwa kuchezea chezea mpira huu si uboya huu?Wametutolea brazil, tungekua na bonge la fainaly kama wangepita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga sana hawa yani wanafika hadi golini lakini wanataka kufunga kwa kuchezea chezea mpira huu si uboya huu?Wametutolea brazil, tungekua na bonge la fainaly kama wangepita
Yaani unataka wachezaji wa Yanga waishi kama wale wa simba! Inawezekana kweli? Yanga ni next level! Let them enjoy to the fullest.Kwanini wasingekuja tu na rasket softly?
Simba wamepanda ndege kwenda Mwanza wakiwa na rasket tu, begi la kubuluza lilikuwa moja au mawili kama sikosei nayo yalikuwa ya technical bench
Sasa Avic town kwenda kwa Mkapa watu wamebeba hadi mabegi ua remote kwa afya yangu hata kuliburuza peke yangu siwezi
Au ni promotion ya bidhaa za GSM?
Simba imekwea flight kwenda mwanza na bado wachezaji walikuwa na rasket tuMwambie Scars basi la Yanga linaruhusu wachezaji kubeba hata magodoro, na kuja nayo uwanjani! Maana ni kubwa, na linaruhusu! Let them enjoy bhana!!
Siyo coastal ile!!
Na Croatia wakamuachia Brazil,
Next level gani?Yaani unataka wachezaji wa Yanga waishi kama wale wa simba! Inawezekana kweli? Yanga ni next level! Let them enjoy to the fullest.
Matokeo bado vile vile 1-1?
Mapindi c yalipigwa 2:1 ,,,, 1hlf,,,,, alafu ngoma mpk chweee 2:1 tunakoelekeaMatokeo bado vile vile 1-1?
Tunataka watoke empty ndo raha yetu.Kwani sie wamorocco tumewakosea nini wamatumbi 🥺 mbona mnatuombea dua mbaya hamtaki tuwe washindi wa tatu si tulishaelewana yakaisha.
Kumbe wamatumbi mna gubu hivi
Kuna shabaki nimemuona jukwaani kashika skafu (mtambio) umeandikwa MAROCHalafu kuna kitu ambacho kinanitatiza ta gu mwanzo kwenye hizi mecgi za Morrocco
Hivi kifupi cha Morrocco kwanini ni MAR na sio MOR?
Hao ubishoo na uzembe uliwaponza, ile mechi wangekuwa makini toka awali wangeshinda.Wametutolea brazil, tungekua na bonge la fainaly kama wangepita
Morocco ni wakoloni kwa Afrika, ni aheri kushabikia Ufaransa kuliko kushabikia Morocco.Wale mahaters wa Morocco na kushabikia wasaliti, jumapili tuna jambo letu
Hiki kipigo cha Morocco leo dhidi ya Croatia, kiwe ni kwa ajili ya Wamorocco wote, Waarabu na Waislam!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiki kipigo cha Morocco leo dhidi ya Croatia, kiwe ni kwa ajili ya Wamorocco wote, Waarabu na Waislam!