Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hapa ndio unaangalia viwango halisi vya wachezaji
Ile mechi ya ureno ilikuwa jihadi
Umeisha ila yale majukwaa yake ya machuma inaonekana yameshindikana kutolewa sababu mechi ilisogezwa mbele hadi nusu saa ili kufanya maandalizi ya kuyaondoa lakini bado mengine yamebakia

Sasa sijajua mkesha wake ulidumu kwa muda gani na ulivyoisha kwanini hayakuanza kutoloewa muda ule ule ili kufanya mchezo uchezeke bila bugdha kama hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…