Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani huo mkesha wake haujakwisha?Mechi ya kwa Mkapa inachezwa huku machuma ya Mwamposa yakionekana
Pata picha na Camera za Azam zilivyo za kusua sua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huo mkesha wake haujakwisha?Mechi ya kwa Mkapa inachezwa huku machuma ya Mwamposa yakionekana
Pata picha na Camera za Azam zilivyo za kusua sua
Acha wakose tulishazuia kitamboWamekosa bonge ya chance
Matokeo bado vile vile 1-1?
Umeisha ila yale majukwaa yake ya machuma inaonekana yameshindikana kutolewa sababu mechi ilisogezwa mbele hadi nusu saa ili kufanya maandalizi ya kuyaondoa lakini bado mengine yamebakiaHapa ndio unaangalia viwango halisi vya wachezaji
Ile mechi ya ureno ilikuwa jihadi
Ni kweli. Ila niliota morocco kapigwa Mbili na yeye kapiga moja. Kwahiyo matokeo yatakua hivyohivyo tuCroatia ni ndugu zetu waafrika,Tunawaombea ushindi mnono wa magoli 3-1
Kwahiyo leo morocco hatakua na nafasi ya kushindaCrotia walimdunga Brazil penalt za kutosha
Ulibet mzee?Ni kweli. Ila niliota morocco kapigwa Mbili na yeye kapiga moja. Kwahiyo matokeo yatakua hivyohivyo tu
Kwahiyo leo morocco hatakua na nafasi ya kushinda