Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wallah ni chupuchupu sisi Waarabu wa Morocco tuwadokoe waCroatia dakika hizi za lala salama.

Wangeita Maji Mma hapa..!
 
Imepigwa hii mijamaa irudi jangwani ikalime tende sasa [emoji16]
Chuki zako zitaipunguzia nini timu iliyofika nusu fainali na mkwanja mrefu wamekunja kibindoni.

Mataifa makubwa kibao yameangushwa na hawa Waarabu hadi kufikia watu wanalia kama watoto unadhani mchezo.

Timu ya kwanza Africa kuandika historia ya kutinga nusu fainali kombe la dunia imeandikwa na Morocco.
 
Wasingekua na kauli za kibaguzi sasa hivi Morocco walikua wanajiandaa kucheza fainal kesho
Kivipi yaani!

Kwamba Africa nzima tungeingia uwanjani kuwasaidia?

Hata kama wangemshukuru kila mwafrika mmoja mmoja na kutoa zawadi ya pesa taslimu bado wangetolewa tu kama wangekuwa wakutolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…