Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Screenshot_20221217-201832_Chrome Dev.jpg
 
Yanga wanacheza Dar ambapo ndio makao makuu ya Club yao yalipo

Sasa nashangaa kuona basi la timu limefika uwanjani halafu wachezaji wanashuka wakiwa na mabegi makubwa ya futi 4 hadi 5

Nimebaki najiuliza, kutoka Avic hadi kwa mkapa unabeba mbegi mkubwa kama ule, je siku wakienda Misri hawa itakuwaje?

Au wanabeba tu kama unyamwezi
Tulia wewe Yanga wanyamwezi, unawaangalia kwa wasiwasi eeh.
Tuko WC unawawaza Yanga...
 
Simba imekwea flight kwenda mwanza na bado wachezaji walikuwa na rasket tu

Nyinyi mnatoka jikoni mnaenda sebleni unabeba begi zito afu kunwa utafikiri unaenda Space??
Washamba au mayb kuna tunguli mule[emoji1787]
 
Back
Top Bottom